TAMASHA LA NGOMA ZA ASILI LA TULIA KUKUZA UTALII MKOANI MBEYA
Tamasha la Ngoma za Asili lijulikanalo kama “ *Tulia Traditional Dances Festival* ” ni kichocheo kikubwa katika kukuza ajira na utalii nchini. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ameyasema hayo wakati akihitimisha tamasha hilo lililoambatana na mbio za “Tulia Marathon” lililofanyika leo Septemba 30,2023 jijini Mbeya. “Tamasha hili ni moja ya zao […]