BIASHARA
February 24, 2024
303 views 5 mins 0

TTCL NA BURUNDI YAZIDI KUWEKA UHUSIANO WA MAWASILIANO,YASAINI MKATABA WA MKONGO

SERIKALI imeshuhudia utiaji saini mkataba wa kibiashara na kuongeza huduma kwenye mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kati ya Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL na Burundi Akishuhudia utiaji saini huo Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema tukio hili linaashiria hatua muhimu katika kuimarisha uhusiano wa kibiashara na teknolojia kati ya nchi […]