KITAIFA
April 21, 2024
272 views 3 mins 0

WAZIRI MKUU AWAAGA VIONGOZI WA DINI, UZINDUZI WA ROUTE YA SGR DAR- DODOMA

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaaga viongozi wa dini 104 ambao wanaelekea Dodoma kwa treni ya mwendokasi (SGR) kwenda kushiriki ibada maalum ya kuliombea Taifa inayotarajiwa kufanyika kesho, Jumatatu,  Aprili 22, 2024. Treni hiyo imeondoka stesheni ya Dar es Salaam saa 8.53 mchana ikiwa na viongozi hao, waandishi wa habari, […]

KITAIFA
March 27, 2024
429 views 2 mins 0

TRC YAPANGA NAULI YA TRENI YA UMEME, KAMATI YA BUNGE YATEMBELEA MRADI WA SGR

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Kamati ya Bunge ya uwekezaji na mitaji ya umma imefanya Ziara ya kukagua mradi wa SGR na pia kuangalia majaribio ya TRC yanayofanywa Kwa maandarizi ya kuanza safari zao rasmi. Mwenyekiti ya kamati ya Bunge Amesema kuwa kazi kubwa imefanyika Kwa kutoka Dar mpaka morogoro wameshuhudia kuwa serikali imefanya […]