WAZIRI MBARAWA AITAKA TRC KUHAKIKISHA MRADI WA UVINZA-MUSONGATI KUKAMILIKA KWA WAKATI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amelitaka Shirika la Reli Tanzania(TRC) kuhakikisha mradi wa reli ya Uvinza-Musongati unakamilika kwa wakati na kwa kuzingatia thamani ya fedha ili kurahisisha shughuli za usafiri na usafirishaji baina ya Tanzania, Burundi na DRC. Ametoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kusaini […]