RC CHALAMILA TAIFA LETU LITAJENGWA NA KODI ZA WATANZANIA
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Albert Chalamila amesema namna pekee ya kupata maendeleo kwa Taifa lolote ni kulipa kodi bila shuruti ambapo Serikali ya Tanzania Kupitia Mamlaka ya Mapato (TRA), itaendeleza oparesheni za kuwabaini baadhi ya wafanyabiashara wa vinywaji wanaoingiza vinywaji nchini visivyothibitishwa na TBS, na wanaofanya biashara […]