WANANCHI WAAHIDI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUPAMBANA NA CHANGAMOTO YA WANYAMAPORI WAKALI NA WAHARIBIFU
Waipongeza TAWA kwa ushirikishaji Na. Beatus Maganja Kufuatia changamoto ya wanyamapori wakali na waharibifu nchini, wananchi wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa hususani Shinyanga na Mwanza wamekubali na kuahidi kushirikiana na Serikali kukabiliana changamoto hiyo ili kupunguza adha kwa wananchi hasa wale wanaoishi pembezoni mwa hifadhi. Wakizungumza na waandishi wa habari katika ziara iliyofanywa na […]