TANZANIA NA INDONESIA ZAJADILI KUONGEZA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA NISHATI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Zajadili ushirikiano katika utafutaji, usambazaji wa Gesi Asilia na Mafuta* Tanzania yaikaribisha Indonesia uendelezaji wa Jotoardhi* Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia, Pahala Mansury ambapo mazungumzo yao yalijikita katika kuongeza ushirikiano kati ya nchi hizo […]