KITAIFA
April 14, 2024
250 views 31 secs 0

TMDA KUONDOA MATUMIZI YA DAWA DUNI YA BENYLIN YA WATOTO KUWA IMEISHA MUDA WAKE

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM TMDA  imetoa taarifa Kwa umma kuwa Kuna taarifa inayosambaa Katika mitandao ya kijamii “Whatsapp”Kuhusu uwamuzi wa mamlaka za udhibiti wa dawa (national Medicine Regulator Authorities)za nchi kadhaa barani Afrika kuzuia matumizi na kuondoa (recall)Katika masoko Yao Kwa dawa duni ya maji aina ya Benylin Pediatrics syrup iliyotengenezwa mwezi Mei […]

KITAIFA
April 13, 2024
236 views 2 mins 0

TMDA YASHINDA TUZO YA UMAHIRI KATIKA MAWASILIANO YA UMMA

Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM MAMLAKA ya Dawa na vifaa tiba nchini (TMDA ) kupitia kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma imeshinda tuzo ya Umahiri katika Mawasiliano ya umma iliyobeba dhima ya “The best winner in media relations category for the year 2023 ” ikiwa na maana mshindi wa Tuzo ya Kundi la […]

KITAIFA
January 12, 2024
203 views 59 secs 0

TMDA YAKANUSHA DAWA YA VIDONGE YA FLUCONAZOLE KUWA HAIJASAJILIWA

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Mamlaka ya dawa ya vifaa tiba TMDA yakanusha juu ya uwepo wa dawa duni ya matoleo ya dawa aina ya fluconazole ya vidonge ya miligramu 200 yaliyotengenezwa na kiwanda Cha universal corporation kilichopo Kikuyu nchini Kenya Tarehe 29 desemba 2023 TMDA iliweza kupokea taarifa iliyotolewa na taasisi ya udhibiti […]

KITAIFA
January 05, 2024
288 views 4 mins 0

MAJALIWA: TUENDELEE KUPINGA UKATILI KWA WATOTO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa jamii kuwa iendelee kuunga mkono Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kupinga vitendo vya ukatili kwa watoto kwani vinasababisha watoto wengi kukimbia familia zao na kukosa makao maalum. “Jamii na Watanzania kwa ujumla kila mmoja ashiriki katika kulinda haki na […]

KITAIFA
December 09, 2023
198 views 7 mins 0

MPANGO WA USAJILI WA WATOTO WA UMRI CHINI YA MIAKA MITANO WAZINDULIWA DAR

Mpango wanufaisha watoto milioni 8.8, RITA kuendelea kusajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wa umri chini ya miaka mitano bure bila malipo MKOA Wa Dar es Salaam umefikiwa na mpango wa usajili watoto wa umri chini ya miaka mitano ukiwa ni Mkoa wa 26 kufikiwa na mpango huo ulioanza Juni 2013 ambapo jumla […]

KITAIFA
November 01, 2023
246 views 3 mins 0

TMDA KUWAPA ELIMU WADHIBITI WA VIFAA TIBA VYA WAMAMA NA WATOTO WACHANGA

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba Nchini (TMDA) inaendesha mafunzo ya siku tatu Jijini Dar es Salaam ya kufanya tathmini ya udhibiti wa vifaa tiba vya Wamama, Watoto wachanga na Watoto kwa wataalam wa vifaa tiba kutoka Mamlaka za udhibiti za nchi 11 za Afrika. Kongamano hilo ni la kwanza Barani Afrika ambapo mafunzo hayo […]