TANZANIA YAFUNGUA MILANGO UWEKEZAJI BIASHARA YA HEWA UKAA
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeweka milango wazi kwa wawekezaji nchini na duniani kote kuwekeza kwenye biashara ya hewa ukaa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa “Ibara ya 6.4” ya Mkataba wa PARIS, ambayo inalenga kukabiliana na kupunguza athari za mabadiliko ya tabia ya nchi duniani kote. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maliasili […]