KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI YARIDHISHWA NA UJENZI WA JENGO LA OfISI YA MAKAO MAKUU JIJINI DODOMA: YAIPONGEZA TIRA NA MKANDARASI KWA KAZI NZURI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), *Mhe Naghenjwa Kaboyoka (Mb)* na wajumbe wa Kamati hiyo wameridhishwa na hatua ya mradi wa ujenzi wa jengo la Ofisi la Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Makao Makuu linalojengwa Jijini Dodoma ambalo hadi sasa limefikia asilimia 85 […]