TIGO PESA YALETA AHUWENI MALIPO KWA WAKULIMA ZAO LA KAKAO
Meneja Mauzo na Usambazaji kampuni ya mawasiliano TIGO Mkoa wa Mbeya, Ronald Richard amesema kuwa wanatumia fursa ya siku ya kilele cha maonesho ya kimataifa ya Nane nane 2023 katika Mkoa huo kuhamasisha wakulima kujiunga na TIGO ili kuwarahisishia shughuli za kilimo. Maonesho hayo yanafungwa rasmi leo Agost 8,2023 na Rais wa Jamhuri ya Muungano […]