WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA KATIKA UWEKEZAJI
WATANZANIA wametakiwa kuchangamkia fursa zilizopo katika uwekezaji ili kuupiga jeki uchumi wa taifa kwa kutengeneza ajira na walipa kodi wapya. Hayo yamesemwa leo Julai 17, 2023 Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji, Tanzania Gilead Teri wakati wa mkutano wa kituo hicho na Jukwaa la Wahariri wa vyombo habari uliofanyika katika ukumbi […]