SERIKALI YAIPA KONGOLE KAMPUNI YA CRJE IKIAHIDI KUENDELEA KIDUMISHA MAHUSIANO MEMA NA CHINA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA SERIKALI imeipongeza Kampuni ya ukandarasi kutoka nchini China ya CRJE (East Africa) Ltd kwa ufanyaji kazi uliotukuka huku ikiahidi kuendelea kukuza mahusiano yaliyodumu kwa muda mrefu kati ya Tanzania na China Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Waziri wa Katiba na Sheria Dk Damas Ndumbaro wakati wa uzinduzi wa […]