SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO INAONGOZA KWA UVUNJIVU WA HAKI YA KUJIELEZA
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM SERIKALI imesema itaendelea kuboresha mazingira ya kisera na kisheria ili kuimarisha zaidi Sekta ya Habari nchini. Hayo yomebainishwa leo Juni 27, 2024 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Thobias Makoba akifungua kongamano la Uhuru wa Vyombo vya Habari […]