THRDC WAONESHA MATUMAINI YA WANANCHI WA NGORONGORO KUANZA KUTHAMINIWA
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro Mkoani Arusha wameonyesha kuwa na matumaini na Serikali kufuatia urejeshwaji wa huduma za kijamii ambazo zilikosekana kwa mda mrefu. Hayo yamebainishwa leo Nov 18, 2024 na Mratibu wa mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) wakili Onesmo Olengurumwa ambapo amesema kwasasa Wananchi […]