TFRA na Taasisi za Utafiti wa Kilimo Zajadili Mashirikiano Udhibiti wa Mbolea
Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imekutana na kufanya mazungumzo na Taasisi za Utafiti wa kilimo zilizo chini ya Wizara ya Kilimo kwa lengo la kujadili ushirikiano baina yao katika masuala ya udhibiti wa mbolea hususani katika kufanya tafiti na majaribio ya mbolea zinazokusudiwa kusajiliwa nchini. Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa TFRA, […]