SERIKALI YAJA NA MWAROBAINI WA CHANGAMOTO YA KIVUKO MAGOGONI-KIGAMBONI
-Yazindua vivuko 2 vya kisasa -Kivuko kimoja kinauwezo wa kubeba watu 250 kwa mara moja kwa kasi ya dakika 5 hadi 6. Waziri wa Ujenzi Mhe Abdallah Ulega leo Januari 23, 2025 amezindua mashirikiano kati ya Serikali na Sekta binafsi katika kituo cha Magogoni kwa kuzindua rasmi vivuko 2 ambavyo vitatoa huduma kwa wananchi, uwekezaji […]