KITAIFA
January 06, 2024
125 views 4 mins 0

WAZIRI MAVUNDE:AWATAKA MAAFISA MADINI WAKAZI WA MIKOA KUONGEZA KASI UKUSANYAJI WA MADUHULI

*Mwanza* Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amewataka Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa kuongeza kasi ya ukusanyaji wa maduhuli ili kufikia lengo lililowekwa na Serikali la kukusanya shilingi bilioni 882 katika Mwaka wa Fedha 2023/2024 Waziri Mavunde amesema hayo leo Januari 06, 2024 jijini Mwanza kwenye kikao chake na Menejimenti ya Tume ya Madini iliyohusisha […]

KITAIFA
October 26, 2023
116 views 3 mins 0

DKT BITEKO ATAKA SWKTA YA UVUVI IWE NYENZO YA KUONDOA UMASIKINI NCHINI

TAFIRI watakiwa kuwa kimbilio la wavuvi Asisitiza utunzaji wa mazingira kupewa kipaumbele Ahimiza kuongeza kasi kuuza bidhaa nje ya nchi Dkt. Biteko Azindua ‘App’ kusaidia Sekta ya Uvuvi Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaagiza watendaji wa Sekta ya Uvuvi nchini kuifanya Sekta hiyo kuwa nyenzo muhimu […]

BIASHARA, KITAIFA
September 27, 2023
176 views 5 mins 0

KANYASU AMEIOMBA TUME YA MADINI KUJA NA TEKNOLOJIA YA KUKAMATA SHABA DHAHABU NA FEDHA

Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Mh. Constantine John Kanyasu amewapongeza waandaaji wa Maonesho ya sita ya kimataifa ya teknolojia ya Madini na pia kupata nafasi ya kuwa Mgeni mahususi katika kutembelea mabanda mbalimbali yaliyoko katika Maonesho hayo Amesema Maonesho haya yameandaliwa vizuri na washiriki ni wengi na hii inaleta hamasa, hususani ushiriki wa bidhaa […]

Uncategorized
September 21, 2023
215 views 2 mins 0

NAIBU WAZIRI MKUU, WAZIRI WA NISHATI DKT DOTO BITEKO KUFUNGUA MAONESHO YA SITA YA MADINI GEITA

NAIBU Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati DKT.Doto Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa maonesho ya Sita ya teknolojia ya Madini mkoani Geita yatakayofunguliwa Septemba 23 mwaka huu katika Halmashauri ya Mji wa Geita huku Rais DKT.Samia Suluhu Hassan akitarajiwa kufunga maonyesho hayo. Akizungumza na waandisi wa habari katika viwanja vya […]

KITAIFA
July 19, 2023
118 views 3 mins 0

WAZIRI BITEKO: SERIKALI ITAANZA UTAFITI WA MADINI KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI

Waziri wa madini Dotto Bitteko Leo amekutana na wanaChama wa Chama cha wachimbaji wa Madini na Wadau mbalimbali wasekta hiyo na kujadili Mafanikio na changamoto za wachimbaji wa madini jijini Dar es Es Salaam Mkutano huo uliofanyika jijini Dar es salaam Katika hotel ya Johar rontana na kuhudhuriwa na Waziri wa Maji ,Nishati na Madini […]