TCB NA ZEEA YAINGIA MAKUBALIANO KUWAINUA WAJAWASIRIAMALI NA KUKUZA UCHUMI
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Benki ya Biashara Tanzania (TCB) leo imesaini mkataba wa makubaliano (MOU) naWakala wa serikali wa uwezeshaji wananchi kiuchumi zanzibar ( ZEEA) Makubaliano haya ya kimkakati yanalenga kuanzisha mpango maalum wa mikopo utakaonufaisha makundi maalum wakiwemo wanawake na vijana wanaojihusisha na shughuli za kiuchumi visiwani Zanzibar. Mpango huu unakusudia […]