MSAJILI WA HAZINA AMEZINDUA USHIRIKIANO KATI YA BENKI YA TAIFA YA BIASHARA TCB NA SOKO LA HISA DSE
Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu amezindua ushirikiano kati ya Benki ya Taifa ya Biashara (TCB) na Soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) ambao unakwenda kutoa fursa kwa wateja wa benki hiyo kufanya miamala ya uwekezaji ya kuuza au kununua hisa kwa kutumia simu ya mkononi. Akizungumza leo Februari 21, 2025 jijini Dar es […]