DKT BITEKO:NAWAHIDI WAWEKEZAJI KUWA SERIKALI ITAWAPA USHIRIKIANO
Azindua mtambo mpya na wa kisasa wa mabati ya rangi Ajira 500 kutolewa katika mtambo huo Asisitiza Sekta Binafsi kujenga uchumi imara Imeelezwa kuwa, Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wenye Viwanda, Wafanyabiashara na Wawekezaji kushiriki katika ukuzaji wa uchumi hususan kwenye Sekta ya Viwanda. Hayo yamebainishwa leo Oktoba 15, 2023 na Naibu Waziri Mkuu […]