KITAIFA
April 21, 2024
488 views 5 mins 0

WAZIRI MKUU AZINDUA STUDIO ZA KIDIJITI ZA BONGO FM REDIO

Na Madina Mohammed WAMACHINGA DAR ES SALAAM Ni za TBC Taifa, azuru studio za Bongo FM- redio ya vijana Afunga tamasha la kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua studio za kidijiti za redio ikiwa ni sehemu ya mradi wa maboresho ya studio za redio, televisheni na mitandao ya kijamii za […]