TAWA YATOA MSAADA WA MADAWATI SHULE YA MSINGI CHANGARAWE WILAYANI MVOMERO
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imetoa msaada wa madawati 60 yenye thamani ya Shillingi Millioni 5 (5,000,000) kwa Shule ya Msingi Changarawe iliyopo kata ya Mzumbe, Kijiji cha Changarawe wilayaniย Mvomero Mkoa wa Morogoro. Akikabidhi madawati hayo kwa niaba ya Kamishna wa TAWA katika hafla ya kukabidhi madawati […]