TIMU YA YANGA YAKOSHWA NA “MAAJABU” YA TABORA ZOO
📍Pacome, Diarra wavutiwa na mnyama Simba Na Beatus Maganja, TABORA Viongozi na wachezaji wa Timu ya Young Africans (Yanga) leo hii wamefanya ziara katika Bustani ya Wanyamapori Hai Tabora, maarufu kama Tabora Zoo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukuza utalii wa ndani na kuunga mkono juhudi za Serikali katika kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo […]