KITAIFA
September 08, 2024
25 views 2 mins 0

USHIRIKI WA TAWA MAONESHO YA UWINDAJI WA KITALII ABU DHABI KUZAA MATUNDA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ABU DHABI Wawekezaji waonesha nia kuwekeza kwenye biashara ya uwindaji wa kitalii na hoteli nchi Maonesho ya Kimataifa ya Uwindaji wa Kitalii yanayojulikana kwa Jina la “Abu Dhabi International Hunting and Equestrian Exhibition – ADIHEX 2024” yamezaa matunda kufuatia idadi kubwa ya wawekezaji waliohudhuria katika maonesho hayo yaliyoanza tarehe 31 Agosti […]

KITAIFA
August 25, 2024
41 views 24 secs 0

RAIS SAMIA AISHUKURU TAWA NA TANAPA KWA KULETA WANYAMAPORI HAI TAMASHA LA KIZIMKAZI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZANZIBAR Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezishukuru Taasisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA ) kwa kuonesha Wanyamapori hai kwenye Tamasha la Kizimkazi lililofanyika Kusini Unguja visiwani Zanzibar. Ameyasema hayo leo Agosti 25,2024 kwenye […]

KITAIFA
August 22, 2024
39 views 2 mins 0

SALIM KIKEKE:UWEPO WA TAWA WAONGEZA HADHI YA TAMASHA LA KIZIMKAZI

Na. Beatus Maganja Mtangazaji nguli, na mwandishi wa habari mashuhuri Africa Mashariki na Kati aliyekuwa akitangaza kipindi cha Dira ya Dunia katika Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) ambaye kwasasa anafanya kazi  na Redio/TV ya Crown  FM/TV iliyopo nchini, Salim Kikeke amesema uwepo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori nchini – TAWA katika Tamasha la […]