KAMISHNA MABULA AFANYA UKAGUZI WA KARAKANA YA KISASA MANYONI,ATOA MAELEKEZO MAHSUSI
Na. Beatus Maganja Kamishna wa Uhifadhi wa TAWA Mabula Misungwi Nyanda ameeleza kufurahishwa kwake na ubora wa viwango vya ujenzi wa karakana ya matengenezo ya magari na mitambo iliyojengwa Kanda ya Kati ya TAWA wilayani Manyoni, karakana inayotajwa kuwa ni kubwa kuliko karakana zote zilizojengwa na taasisi hiyo. Ameyasema hayo Januari 14, 2024 akiwa katika […]