BODI YA UTALII KUJA NA ONESHO LA SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO SITE
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya utalii Tanzania (TTB) inatarajia kuazimisha onesho la nane la SWAHILI INTERNATIONA TOURISM EXPO (S!TE) ambapo onesho hilo litafanyika kuanzia 11 mpaka 13 Oktoba mwaka huu. Akizungumza na waandishibwa habari mapema hii leo septemba 12,2024 Mkurugenzi mkuu wa Bodi ya utalii nchini […]