TAWA YAMWAGA MABILIONI BABATI SHUGHULI ZA UTALII ZANEEMESHA WANANCHI
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) katika kipindi cha mwaka 2022/23 imetoa zaidi ya Billioni Mbili kwa Halmashauri ya wilaya ya Babati na Jumuhiya ya Uhifadhi ya Wanyamapori Burunge (JUHIBU) ikiwa ni kurejesha kwa jamii faida zitokanazo na shughuli za utalii zinazofanywa na TAWA wilayani humo. Hayo yamesemwa Novemba 15, 2023 na […]