MIAKA MINNE YA RAIS SAMIA IMELETA MAPINDUZI YA UTALII MPANGA/KIPENGERE – SEMFUKO
๐ Mapato na Idadi ya Watalii Vyaongezeka Na Beatus Maganja, Mbeya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Meja Jenerali (Mstaafu) Hamis R. Semfuko, amesema kuwa juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan […]