KITAIFA
September 16, 2023
319 views 3 mins 0

NAIBU WAZIRI KIKWETE APONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA TASAF MKOANI SIMIYU

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe Ridhiwani Kikwete ameeleza kuridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) mkoani Simiyu. Mhe. Kikwete amezitaka halmashauri zote nchini zinazotekeleza miradi ya maendeleo hususani kwenye sekta ya huduma za jamii kujifunza kutoka Mkoa wa Simiyu ambao […]