TASAF YAONGEZA MAHUDHURIO KLINIKI,SHULE
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Na Mwandishi Wetu MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), kupitia ruzuku wanayotoa kwa kaya masikini, imewezesha mahudhurio ya watoto kutoka kaya hizo kuongezeaka kwa asiimia sita. Hayo yamesemwa na Mratibu wa Malipo ya Walengwa kwa Mtandao, Josephine Joseph alipokuwaakizungumza kaktika Kongamano la Wadau wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa […]