DARAJA LA HURUI MKOMBOZI KWA WANANCHI WA KONDOA NA BABATI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGtA Kondoa, Dodoma Imeelezwa kuwa kujengwa kwa daraja la mto Hurui lenye urefu wa mita 30 lililopo katika kijiji cha Hurui kata ya Kikore wilayani Kondoa mkoani Dodoma limekuwa msaada mkubwa kwa wananchi waliokuwa wanapata adha ya muda mrefu ya usafiri kutokana na kukosekana kwa daraja baada ya daraja la awali kusombwa […]