WAHANDISI TOENI USHAURI WA KITAALAMU KWA WANANCHI WANAPOFUNGUA BARABARA KWA NGUVU ZAO- MHANDISI SEFF
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mtwara Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff amewataka Wahandisi wa TARURA nchini kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wananchi na wadau wa maendeleo pindi wanapofungua au kutengeneza barabara kwa nguvu zao kwa barabara ambazo hazipo kwenye mtandao unaosimamiwa na TARURA. Mhandisi Seff ameyasema hayo […]