KITAIFA
September 15, 2023
125 views 2 mins 0

WAZIRI MKUU AIPONGEZA TARURA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA MAWE KWENYE UJENZI WA MADARAJA NA BARABARA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) ameipongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kutumia teknolojia ya mawe kwenye ujenzi wa madaraja na barabara nchini. Waziri Mkuu ameyasema hayo alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wahandisi yaliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani city jijini […]

KITAIFA
August 24, 2023
192 views 3 mins 0

TARURA KUIMALISHA MTANDAO WA BARABARA ZA WILAYA

Wakala wa barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umesema maeneo ya kipaumbele kwa mwaka wa fedha 2023/24 ni Kuondoa vikwazo kwenye mtandao wa barabara za Wilaya ili angalau ziweze kupitika misimu yote. Hayo yamesemwa na mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff Agosti 24,2023 Jijini Dodoma wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa majukumu na mwelekeo […]