KITAIFA
October 25, 2023
234 views 53 secs 0

TARURA YAWAUNGANISHA WANANCHI WILAYA YA RUANGWA NA LIWALE

Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoani Lindi imekamilisha ujenzi wa daraja la Mbwemkuru lenye urefu wa mita 75 na kufungua barabara ya Ruangwa-Nangurugai- Kiangara-Mirui-Mbwemkuru yenye jumla ya Km 65. Meneja wa TARURA Wilaya ya Ruangwa, Mhandisi Mashaka Narubi ameeleza kuwa kukamilika kwa daraja hilo imekua ni fursa kwa wananchi kusafiri kwa urahisi […]

KITAIFA
October 15, 2023
213 views 2 mins 0

TARURA KUANZA UJENZI WA DARAJA LA MFILISI-MIKUMI

Kero ya kukatika kwa mawasiliano katika Kata za Kisanga, Ulaya na Mikumi kumalizika Kilosa – Morogoro. Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilayani Kilosa imedhamiria kumaliza kero ya muda mrefu ya kukatika kwa mawasiliano katika Kata tatu za Kisanga, Ulaya na Mikumi baada ya kukamilisha taratibu zote za ujenzi wa daraja la Mfilisi […]

KITAIFA
October 13, 2023
229 views 2 mins 0

DKT BITEKO AWATAKA TANESCO,REA KUFIKISHA UMEME KWENYE VITONGOJI

Awasha umeme Mtanana Kongwa Sasa kijijini kama mjini Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wananchi waliopo kwenye vitongoji wanapatiwa umeme ili kuharakisha maendeleo yao kiuchumi. Mhe. Dkt. Biteko ameyasema hayo alipokuwa akiwasha umeme kwenye Kijiji cha […]

KITAIFA
October 12, 2023
394 views 55 secs 0

MENEJA WA MKOA TARURA MOROGORO ASISITIZA KUENDELEA USIMAMIZI WA MIKATABA YA KAZI ZA BARABARA

TARURA haitosita kuwachukulia hatua wakandarasi na watumishi watakaozorotesha kasi ya utekelezaji wa kazi za ujenzi na matengenezo ya barabara za Wilaya Morogoro Meneja wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Morogoro Mhandisi Emmauel Ndyamkama amesema kuwa ataendelea kusimamia ubora wa kazi zinazofanyika katika Mkoa huo kwa kuzingatia matakwa ya mikataba inayosainiwa […]

KITAIFA
October 07, 2023
136 views 45 secs 0

MHANDISI SEFF AMTAKA MKANDARASI BARABARA YA KASULU-KABANGA-KASUMO-MUYAMA KUKAMILISHA MRADI KWA WAKATI

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor H. Seff amemwelekeza Mkandarasi โ€˜Salum Motors Transport Co.Ltdโ€™ kuhakikisha anakamilisha kwa wakati ujenzi wa barabara ya Kasulu- Kabanga-Kasumo-Muyama km 36 ambapo awamu ya kwanza ya km 12.5 inaendelea kujengwa kwa kiwango cha lami. Akiwa katika ukaguzi wa barabara hiyo, Mhandisi Seff ameeleza […]

KITAIFA
October 06, 2023
303 views 23 secs 0

MTENDAJI MKUU TARURA AWATAKA WATUMISHI BUHIGWE KUENDELEA KUFANYA KAZI KWA BIDII

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor H. Seff amekutana na watumishi wa TARURA Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma ambapo amepokea taarifa mbalimbali za kiutendaji na kuwataka kuzingatia uadilifu na kutimiza wajibu. Mhandisi Seff ameyasema hayo alipokuwa kwenye kikao na watumishi wa TARURA wilayani humo kwa lengo la kupata […]

KITAIFA
October 01, 2023
318 views 3 mins 0

ZIARA YA MTENDAJI MKUU WA TARURA MOMBA YALETA FARAJA KWA WANANCHI

*Ujenzi wa daraja la Msangano lenye mita 56 watajwa Wananchi wa Wilaya ya Momba Mkoani Songwe wameeleza kufurahishwa na ujio wa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini TARURA Mhandisi Victor Seff aliyetembelea Vijiji mbalimbali vya Wilaya hiyo ndani ya Kata takribani sita na kujionea hali halisi ya ujenzi na matengenezo ya […]

KITAIFA
September 28, 2023
298 views 2 mins 0

TARURA KUUNGANISHA MKOA WA IRINGA NA MOROGORO

Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza kazi ya kuunganisha mkoa wa Morogoro na Iringa kupitia Wilaya ya Kilolo baada ya kufungua Barabara ya Mhangaโ€“Mgeta yenye urefu wa kilomita 17.5 ili kuwezesha wananchi kusafiri kwa urahisi na kufikisha mazao yao sokoni. Meneja wa TARURA Mkoa wa Iringa, Mhandisi Makori Kisare amesema kuwa lengo […]

KITAIFA
September 26, 2023
175 views 39 secs 0

TARURA MOROGORO YAENDELEA KUZIBORESHA BARABARA

Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Manispaa ya Morogoro inaendelea na matengenezo ya barabara ili wananchi waweze kusafiri kwa urahisi. Hayo yameelezwa na Meneja wa TARURA Wilaya ya Morogoro Mhandisi Mohamed Muanda alipokuwa akielezea utekelezaji wa miradi ya Wakala katika Manispaa hiyo. Mhandisi Muanda amesema mkakati uliopo ni kuhakikisha kwamba barabara zote za […]