KITAIFA
March 22, 2025
21 views 6 mins 0

TARURA yafungua barabara mpya Km. 8.24 Wilayani Momba

📌Taa za barabarani 95 zawekwa  Mji wa Tunduma 📌Km. 50 za barabara mpya zafunguliwa Halmashauri ya Momba Tunduma,Momba Kwa mara ya kwanza wananchi wa Kata ya Mpemba na Mpande wananufaika  na kufurahia matunda ya ujenzi wa barabara itakayochochea kasi ya ukuaji wa uchumi na Maisha yao kwa ujumla. Mhandisi Yusuph Shabani Meneja TARURA Wilaya ya […]

KITAIFA
February 24, 2025
37 views 3 mins 0

BARABARA YA ILOLO-NDOLEZI YAONDOA WALANGUZI WA MAZAO, MBOZI

📌Ni mradi wa Agri- Connect uliofungua fursa za kiuchumi Mbozi, Songwe Walanguzi wa mazao ya wakulima wa kahawa, mahindi, mbogamboga na karanga wameondoka baada ya kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Ilolo-Ndolezi yenye urefu wa Km 11.01  kwa kiwango cha lami katika halmashauri ya wilaya ya Mbozi mkoani Songwe. Wakiongea kwa nyakati tofauti baadhi ya […]

KITAIFA
January 30, 2025
91 views 49 secs 0

SERIKALI YARIDHISHWA NA UJENZI WA BARABARA ZA MTILI–IFWAGI NA WENDA–MGAMA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkandarasi barabara ya Ilula Image-Ilambo atakiwa kurejea kazini mara moja Iringa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff, amesema serikali inaridhishwa na kazi zinayofanywa na wakandarasi wanaojenga barabara za Mtili – Ifwagi (Km. 14) na Wenda – Mgama (Km. 19) ambazo zinagharimu bilioni 52. […]

KITAIFA
January 08, 2025
150 views 6 mins 0

WANANCHI KITETO WAISHUKURU SERIKALI UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Hali ya upatikaji wa barabara na madaraja yafikia 19% Kibaya ,Kiteto WANANCHI wa Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara wameishukuru Serikali kwa kuwapelekea mradi wa ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja ambao utasaidia kufungua uchumi wa wilaya hiyo. Wakizungumza wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi hiyo wananchi hao wamesema awali […]

KITAIFA
January 05, 2025
118 views 4 mins 0

WANANCHI SIMANJIRO WAIPA TANO SERIKALI UJENZI WA MIUNDOMBINU

Simanjiro WAKAZI wa Wilaya ya Simanjiro wameipongeza Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kutatua kero ya muda mrefu ya barabara na madaraja wilayani humo. Wakizungumza wakati wa ziara ya waandishi wa habari kutembelea miradi ya ujenzi wa miundombinu wilayani humo wakazi hao wamesema kabla ya ujenzi wa miundombinu hiyo walikuwa […]

KITAIFA
January 05, 2025
79 views 3 mins 0

SERIKALI KUFUNGUA MAWASILIANO SIMANJIRO-MANYARA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA SERIKALI kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) inajipanga kufungua mawasiliano kwa kuunganisha Barabara ya Langa-Mkuu na Msitu wa Tembo katika Kata ya Msitu wa Tembo- Ngorika kuelekea Ngange wilayani Simanjiro, Mkoa wa Manyara. Kaimu Meneja wa Tarura Wilaya ya Simanjiro, Mhandisi Naftari Chaula amesema hayo wakati wa ukaguzi […]

KITAIFA
December 13, 2024
92 views 4 mins 0

UJENZI WA KIVUKO CHA TRIPPI KUPUNGUZA UTORO KWA ASILIMIA 98 – MBULU

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ahadi ya Rais yatekelezwa Kukamilika kwa ujenzi wa kivuko cha mto Trippi kilichopo Kijiji cha Trippi Kata ya Gehandu Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu umeweza kupunguza utoro kwa asilimia 98 na kuongeza ufaulu wa mtihani wa darasa la saba kwa asilimia 91 kwa wanafunzi wanaosoma Shule ya Msingi Trippi. Hayo yameelezwa […]

KITAIFA
December 03, 2024
87 views 3 mins 0

MHANDISI SEFF AWASHUKURU WALE WOTE WALIOMPIGIA KURA TUZO ZA ‘CEO’ BORA WA MWAKA 2024

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Awataka watumishi kuchapa kazi kutimiza lengo la Serikali Dodoma Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za VIjijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amewashukuru Watanzania wote waliojitokeza na kumpigia kura wakati akiwania tuzo za Mtendaji/Mkurugenzi Mkuu Bora wa mwaka 2024 kati ya Wakurugenzi 100 walioteuliwa kuwania tuzo hizo (Top 100 Executive […]

KITAIFA
December 02, 2024
222 views 2 mins 0

MAMENEJA WA TARURA WA MIKOA NA WILAYA WATAKIWA KUFANYA UKAGUZI NA MATENGENEZO YA MIUNDOMBINU MARA KWA MARA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini TARURA Mhandisi Victor Seff amewataka Mameneja wa TARURA wa Mikoa na Wilaya zote nchini kufanya ukaguzi na matengenezo  ya Miundombinu ya barabara zinazosimamiwa na TARURA mara kwa mara ili kubaini kasoro na kuchukua hatua za haraka kuondoa kasoro […]

KITAIFA
November 15, 2024
135 views 40 secs 0

MTENDAJI MKUU TARURA AMUAGIZA MKANDARASI KUKAMILISHA UJENZI WA NGUZO MBILI ZA DARAJA LA MUHORO KABLA YA MSIMU WA MVUA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Amtaka Mkandarasi barabara ya Utete-Kingupira kuwasilisha mpango kazi wake Rufiji, Pwani Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff amemtaka Mkandarasi MAC Contractor Ltd anayejenga Daraja la Mohoro lililopo Wilayani Rufiji  Mkoa wa Pwani kukamilisha ujenzi wa nguzo mbili zilizobakia  kwenye ujenzi wa daraja hilo  […]