TANZANIA YASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO NA NCHI YA HUNGARY KATIKA SEKTA YA MAJI
Na mwandishi wetu DAR ES SALAAM Tanzania imesainia Mkataba wa Ushirikiano na Nchi ya Hungary katika sekta ya maji ili kubadilishana uzoefu wa teknolojia katika sekta hiyo. Akizungumza leo Machi 28,2024 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Janury Makamba amesema kwa miaka mingi nchi hiyo inaongoza kwa teknolojia ya juu Duniani […]