KITAIFA
May 15, 2024
276 views 3 mins 0

TANZANIA YAADHIMISHA MIAKA 60 YA KIDIPLOMASIA KATI YAKE NA CHINA

– Filamu ya ” Amazing Tanzania ” yazinduliwa China Na Mwandishi Wetu – Beijing Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeadhimisha Miaka 60 ya Kidiplomasia kati yake na China sambamba na uzinduzi wa mwaka wa Utalii na Utamaduni ulioambatana na  uzinduzi rasmi wa filamu ya โ€œAmazing Tanzaniaโ€ Mei 15, 2024 jijini Beijing China. Akizungumza […]