KITAIFA
October 10, 2024
44 views 37 secs 0

TANZANIA KUWA KITOVU CHA UBUNIFU TEKNOLOJIA KIMATAIFA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM USHIRIKIANO  kati ya Taasisi ya Adani Foundation na IITM Zanzibar kwa pamoja wamekubaliana  katika kuboresha elimu ya juu nchini katika kuunda fursa kwa vijana, hasa wale wanaotoka katika familia zenye hali duni. Kwa kuanzisha programu wezeshi  ya Sayansi ya Takwimu, Akili Bandia na Miundo ya Baharini, huu ni […]

KITAIFA
October 06, 2024
76 views 38 secs 0

TANZANIA KUSHIRIKI KONGAMANO LA WIKI YA MAFUTA AFRIKA (AFRIKA OIL WEEK)

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio leo tarehe 06 Oktoba, 2024 ameongoza kikao cha maandalizi cha Wataalam kutoka Tanzania watakaoshiriki Kongamano la Wiki ya Mafuta Afrika (Afrika Oil Week). Kikao kimefanyika Jijini Cape Town nchini Afrika Kusini. Kongamano hilo litafanyika kuanzia tarehe 07 hadi 10, Oktoba, 2024 […]

KITAIFA
November 28, 2023
188 views 2 mins 0

DKT BITEKO AKUTANA NA UONGOZI WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA

CPC yaahidi kuendeleza ushirikiano katika nyanja za Uchumi, Elimu na Masuala ya Kijamii Dar es salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa juu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ukiongozwa na Mjumbe wa Kamati na Mkurugenzi Mkuu wa Bureau I, Idara […]

KITAIFA
August 10, 2023
377 views 18 secs 0

AMUUA MAMA YAKE NA KUMBAKA NJOMBE.

Muuguzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mawengi Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, Ubatizo Sanga mwenye umri wa miaka 55 amefariki baada ya kupigwa na mchi wa kinu kichwani na baadaye kubakwa na Mtoto wake Asifiwe Haule mwenye umri wa miaka 25. Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva amethibitisha kutokea kwa tukio hilo […]

KITAIFA
August 03, 2023
319 views 30 secs 0

TANZANIA KURUHUSU RAIA WAKIGENI KUMILIKI ARDHI.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linalomilikiwa na Serikali, Hamad Abdallah, alisema Tanzania inakosa mapato mengi kwa kuwanyima wageni haki ya kumiliki ardhi nchini. Anasema kuwa nchi nyingine, kama vile Rwanda, Kenya, na Afrika Kusini, na nchi zenye uchumi wa juu kama vile Dubai, zinaruhusu wageni kumiliki nyumba bila malipo. “Tunakosa kutumia […]

KITAIFA
July 20, 2023
183 views 41 secs 0

JKCI KUFANYA UPASUAJI WA MKUBWA WA MOYO BILA KUPASUA KIFUA.

Mwaka wa fedha uliopita wa 2022/2023 Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ilitengewa kiasi cha shilingi Bilioni 44.5 fedha ambazo zimetumika kufanya shughuli mbalimbali za utoaji wa huduma ya matibabu ya moyo Pamoja na shughuli za maendeleo.  Katika mwaka huo wa fedha  Taasisi imefanikiwa kuwafanyia wagonjwa upasuaji mkubwa wa moyo wakufungua kifua na kuwabadilishia […]

BIASHARA, KITAIFA
June 06, 2023
113 views 26 secs 0

SERIKALI YA TANZANIA YAFUNGUA MILANGO KWA WAWEKEZAJI WA BIASHARA YA HIFADHI YA MAZINGIRA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo amesema Serikali inaendelea kufungua milango kwa wawekezaji wa Biashara ili kuhifadhi mazingira.  Amesema hayo leo Juni 06, 2023 wakati wa kikao na Mkuu wa Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora Dkt. Rashid Chuachua pamoja na ujumbe wake waliomtembelea kwa Kuwasilisha taarifa ya kusudio la kuanzisha mradi wa hifadhi ya misitu […]

KITAIFA
June 03, 2023
178 views 20 secs 0

TANZANIA YAVUKA LENGO LA MKAKATI WA KITAIFA WA KUHIFADHI FARU

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kuwa idadi ya faru weusi imeendelea kuongezeka kutoka 163 mwaka 2019 hadi 238 mwaka 2022 na hivyo kuvuka lengo la Mkakati wa Kitaifa wa Kuhifadhi Faru 205 ifikapo Desemba 2023. Mhe. Mchengerwa ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya […]

KIMATAIFA, KITAIFA
May 31, 2023
608 views 2 mins 0

MIPAKA TANZANIA NA KENYA KUIMARISHWA

Tanzania na Kenya ziko katika kikao cha majadiliano ya kuendelea na kazi kuimarisha mpaka wa kimataifa wa nchi hizo mbili kipande cha awamu ya tatu cha kutoka Namanga mkoani Arusha hadi Tarakea Kilimanjaro. Kikao hicho cha siku tano cha Kamati ya Pamoja baina ya Wataalamu wa nchi hizo mbili kilianza tarehe 29 Mei 2023 na […]