KITAIFA
November 24, 2023
431 views 54 secs 0

BISHANGA:MKOA WA SONGWE NI LANGO KUU LA SADC

Mkoa wa Songwe ni mkoa mpya ambao umeanzishwa mwaka 2016 lakini jumla ya mtandao Km 1073.32, Km 256 zote ni za lami lakini Km 816 ni barabara za Mkoa,ni za changarawe” Akizungumza na wananchi Katika ziara ya waziri mkuu mkoani songwe Meneja wa wakala wa barabara Tanzania Mhandisi Suleiman Bishanga Amesema Mkoa wa Songwe Kwa […]