WAZIRI BASHUNGWA AKAGUA UREJESHAJI WA MAWASILIANO YA BARABARA MKURANGA, AELEZA MIKAKATI YA SERIKALI.
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA PWANI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imejipanga kuhakikisha inarejesha mawasiliano ya barabara zote na madaraja yanayoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha ndani ya muda mfupi pindi yanapoharibiwa. Aidha, Bashungwa amewaelekeza Mameneja wa TANROADS Mikoa yote kuendelea kufanya ukaguzi wa madaraja na makalvati pamoja na […]