KITAIFA
March 04, 2024
145 views 52 secs 0

MHANDISI BESTA:DUNIA INABADILIKA NA TUNAPOELEKEA RASILIMALI ZINAZIDI KUADIMIKA

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Taasisi ya wahandisi Tanzania Kwa kushirikiana na bodi ya usajili wa wahandisi Tanzania (ERB) na chama Cha wahandisi washauri Tanzania (ACET) wameadhimisha Leo siku ya Uhandisi Duniani Jijini Dar es salaam Mtendaji mkuu wa Tanroads Mhandisi Mohammed Besta Amesema matukio.kama haya hutunza kumbukumbu ya Yale yanayojili na kupelekea chachu […]

KITAIFA
February 24, 2024
78 views 2 mins 0

BASHUNGWA:MITAMBO YOTE NA WATAALAM WAWE ‘SITE’ NDANI YA MWEZI MMOJA – MLIMBA

Waziri wa  Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Henan Highway Engineering Group Co. Ltd, inayojenga barabara ya Ifakara-Kihansi (km 124) Sehemu ya kwanza Ifakara-Mbingu (km 62.5) kwa kiwango cha lami kuhakikisha analeta mitambo yote na wataalam eneo la mradi. Waziri Bashungwa ametoa agizo hilo wilayani Mlimba mkoani Morogoro mara […]