ULEGA ATOA SIKU 30 KWA MKANDARASI BARABARA YA NSALAGA – IFISI KUWEKWA LAMI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa siku 30 na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO anayetekeleza ujenzi wa upanuzi wa barabara ya Nsalaga – Ifisi (km 29) kwa njia nne, jijini Mbeya kuongeza kasi ya ujenzi wa mradi huo ili uweze kukamilika na kupunguza msongamano wa magari katika jiji hilo. Aidha, Waziri […]