WAWEKEZAJI WAHAMASISHWA KUWEKEZA TANGA
*Mkoa wa Tanga umebarikiwa kuwa na aina mbalimbali za madini* *Wafanya biashara waaswa kuzingatia Sheria za Madini* Wito umetolewa kwa Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwekeza katika fursa zilizopo kwenye Sekta ya Madini mkoani Tanga kutokana na uwepo wa aina mbalimbali za rasilimali madini mkoani humo. Wito huo umetolewa na Afisa Madini Mkazi […]