MRADI WA UFUNGAJI MIFUMO YA UMEME JUA 20,000 MBIONI KUANZA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Imeelezwa kuwa, miradi ya ufungaji wa mifumo ya umeme jua ipatayo 20,000 ipo mbioni kuanza katika maeneo ya visiwani na makazi yaliyo vijijini ambayo hayajafikiwa na Gridi ya Taifa. Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mha. Hassan Saidy wakati wa kikao cha Menejimenti ya Wizara ya […]