KITAIFA
July 12, 2024
73 views 2 mins 0

NAIBU WAZIRI UCHUKUZI ARIDHISHWA NA MASI UJENZI UWANJA WA NDEGE MSALATO

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Naibu waziri wizara ya Uchukuzi David Kihenzile ameeleza kuridhishwa kwake na kasi ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Msalato mkoani Dodoma ambao umefikia asilimia 67.6 kwa upande wa miundombinu ya njia ya kurukia ndege huku ukiwa umefikia asilimia 32.21 kwa upande wa jengo la abiria. Naibu Waziri Kihenzile […]

KITAIFA
November 26, 2023
170 views 5 mins 0

DKT BITEKO AIAGIZA TANESCO KATENI UMEME KWA WADAIWA

Akemea vikali wahujumu wa miundombinu ya umeme, Asema Serikali iko kazini, Itawashughulikia Ataka TANESCO kusikiliza na kujibu Wateja kwa haraka Asisitiza utunzaji wa Mazingira Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kukata umeme kwa wadaiwa wote wasiolipa gharama za kutumia umeme ambapo Shirika hilo […]

KITAIFA
November 21, 2023
158 views 4 mins 0

MTAMBI WA UMEME KUPELEKWA MKOANI MTWARA KUIMARISHA UPATIKANAJI WA UMEME

Hali ya upatikanaji umeme mkoani Dar es Salaam kuboreshwa Imeelezwa kuwa, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) litapeleka mtambo wa umeme wa MW 20 mkoani Mtwara kutoka kituo cha umeme Ubungo III ili kuimarisha hali ya umeme katika mikoa ya Lindi na Mtwara ikiwa ni utekelezaji wa agizo alilolitoa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, […]

KITAIFA
October 13, 2023
229 views 2 mins 0

DKT BITEKO AWATAKA TANESCO,REA KUFIKISHA UMEME KWENYE VITONGOJI

Awasha umeme Mtanana Kongwa Sasa kijijini kama mjini Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wananchi waliopo kwenye vitongoji wanapatiwa umeme ili kuharakisha maendeleo yao kiuchumi. Mhe. Dkt. Biteko ameyasema hayo alipokuwa akiwasha umeme kwenye Kijiji cha […]

KITAIFA
October 12, 2023
147 views 3 mins 0

MRADI KITUO CHA KUPOZA UMEME CHALINZE WAFIKIA ASILIMIA 84.3

Asisitiza Watanzania wanataka umeme Atoa Pongezi kwa wafanyakazi kwenye mradi huo TANESCO wapongezwa kwa hatua ya ujenzi Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme wa Msongo wa kilovoti 400/220/132/33 wa kituo cha Chalinze umefikia asilimia 84.3 na hivyo kuleta matumaini ya kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme. Hayo yameelezwa leo Oktoba 12, 2023 na […]

KITAIFA
August 23, 2023
180 views 3 mins 0

ASLIMIA 77 WANANCHI VIJIJINI WAFIKIWA NA HUDUMA YA MAJI

KATIKA kipindi cha miaka minne tangu kuanzishwa kwa Wakala wa Huduma ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) ,asilimia 77 ya wananchi waishio vijijini wamefikiwa na huduma hiyo. Akizungumza katika maonyesho ya Kimataifa ya Madini yanayofanyika katika wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi,Meneja Uhusiano na Masoko RUWASA Makao Makuu Athuman Sharrif amesema,lengo ni kufika asilimia […]

KITAIFA
July 31, 2023
221 views 2 mins 0

MAKAMBA:AIPONGEZA TANESCO KWA HATUA NZURI YA MABADILIKO YA SHIRIKA LAO

WAZIRI wa Nishati January Makamba amezindua taarifa ya mwaka wa Fedha 2021/2022 na Mpango Mkakati wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wa miaka 10. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo uliofanyika leo Julai 31, 2023 jijini Dar es Salaam, Waziri Makamba ameipongeza TANESCO kwa hatua nzuri kuelekea mabadiliko makubwa ya Shirika ambayo hayajapata kutokea. “Hii […]