TANESCO YAIBUKA KINARA TUZO ZA UBORA ZA MAWASILIANO NA UHUSIANO KWA UMMA ZA PRST 2024
📌Shirika labeba tuzo 4 kati ya 12 zilizoandaliwa. 📌Mawasiliano ya Kimkakati na Ubunifu vyatajwa kati ya sababu za Ushindi huo. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeendelea kung’ara baada ya kushinda jumla ya tuzo 4 kati ya 12 zilizotolewa na Chama cha Maafisa Uhusiano na Mawasiliano Tanzania(PRST)kwa mwaka 2024. Tuzo hizo zilizotolewa 29, Machi 2025 jijini […]