TANAPA YANG’ARA TUZO ZA UMAHIRI-MAWASILIANO KWA UMMA
Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kupitia Idara ya Mawasiliano imeshinda tuzo ya Umahiri katika Mawasiliano ya umma iliyobeba dhima ya “The Best use of Influencers Category for the year 2023” , hafla iliyofanyika usiku wa tarehe 05.04.2024 katika Ukumbi wa St. Peter’s jijini Dar es Salaam, tuzo […]