KITAIFA
August 25, 2024
196 views 0 secs 0

TANAPA WAPOKEA CHETI USHIRIKI WA TAMASHA LA KIZIMKAZI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZANZIBAR Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan amekabidhi cheti cha pongezi kwa ushiriki wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwenye tamasha la Kizimkazi Festival 2024 Hafla ya chakula cha usiku iliyofanyika Ikulu ndogo Kizimkazi Zanzibar. Cheti hicho cha pongezi kimepokelewa kwa niaba ya Kamishna […]