WANAWAKE TEMBELEENI HIFADHI ZA TAIFA KUJIJENGA UZOEFU:KAMISHNA MSAIDIZI MOLLEL
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WITO umetolewa kwa wanawake nchini katika kusherekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani,kujenga mazoea ya kutembelea hifadhi mbalimbali zilizopo nchini kwa lengo la kujifunza na kujijengea uzoefu wa kuangalia vivutio mbalimbali. Wito huo umetolewa jana jijini Dar es Salaam na Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Zone ya Dar es Salaam kutoka Shirika […]